Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,782
- 4,668
Anaubonda aaghKaweka jina la mchumba ake 🤣
Anaubonda aaghKaweka jina la mchumba ake 🤣
Una balaaaKacheza WarlD kwanini apo asifungwe 🤠😂🤠😂
Saiv division ndo wapo mapro sasaAnaubonda aagh
Sahizi afadhari ule mchana kuna majitu aagh na nlikuwa rank ya 900 ndiyo wakanifunga 😂😂😂😂Me nimeingia tuu jioni game ya kwanza nikawekwa🤣🤣mwamba ana mpira wa hovyo sana🤣
Ndiyo tubanane apo apo maana pro hawakamii yani ukiweza kuwapiga goli mbili baasiSaiv division ndo wapo mapro sasa
Ulitaka ufike Rank one nini🤣Sahizi afadhari ule mchana kuna majitu aagh na nlikuwa rank ya 900 ndiyo wakanifunga 😂😂😂😂
Aah wengi unaona sio level zako kabisaNdiyo tubanane apo apo maana pro hawakamii yani ukiweza kuwapiga goli mbili baasi
Eeh nilikuwa navizia kabla wenye nafasi zao hawajafikaUlitaka ufike Rank one nini🤣
Ni level zetu utofauti ni uwekezaji < training na fedhaAah wengi unaona sio level zako kabisa
Kuna mbongo alikua top 20 alimaliza nafasi ya ngap yule alikua anajiita Tik Mestro Tz😃😃Eeh nilikuwa navizia kabla wenye nafasi zao hawajafika
Kuna mtu nimecheza nae events jana network imesimama bars zote kwake nikasemaa aah sitoboi hapaNi level zetu utofauti ni uwekezaji < training na fedha
Kuna mtu nimecheza nae events jana network imesimama bars zote kwake nikasemaa aah sitoboi hapa
Ukiwa na network hufungwi kizembe na unauhakika wa kila shot kuwa goli.Kuna mtu nimecheza nae events jana network imesimama bars zote kwake nikasemaa aah sitoboi hapa
Kwamba ukiwa na strong ndo unapata epicHiyo ya network ina- matter hadi kwenye kuspin
Possibility ni kubwa ya kuokota epicKwamba ukiwa na strong ndo unapata epic
Owaaa nilizingushwa balaaUkiwa na network hufungwi kizembe na unauhakika wa kila shot kuwa goli.
Zile bars kusimama vile mpaka uwe na router strong sioPossibility ni kubwa ya kuokota epic
Kwema apo.nambie mzee