Yan naona bora niende kucheza PUBG tuu 😂
Ili uweze kumtumia vizuri huyu ronaldo inabidi utumie viungo vizuri zaidi tofauti na hapo utamtoa nje 😂🙌Siuuuuuh 😂😂
Ndo inavyokua kila mwisho wa phase unarudishwa chini hapo itategemea phase iliyoisha ulikua dvn ipi.Mazei mbona nimerudishwa division 6 na nilikua 4? Na sijacheza hata game
4Ndo inavyokua kila mwisho wa phase unarudishwa chini hapo itategemea phase iliyoisha ulikua dvn ipi.
Kila phase lazima relegation iwepo hapo komaa hii phase walau ufike dvn 3 ambapo baada ya phase utashushwa mpaka gvn 5.
WarlDUpoo? Nipe username
Mkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi 😂😂😂😂Ili uweze kumtumia vizuri huyu ronaldo inabidi utumie viungo vizuri zaidi tofauti na hapo utamtoa nje 😂🙌
Maana mchango wao ni mdogo sana ambao ni kwenye kushambulia pekeeMkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi 😂😂😂😂
Uje unifungeMkuu kuna wachezaji hata siwahitaji ( messi, Ronaldo, yamal } hao kwangu hawana nafasi 😂😂😂😂
Huna uwezo kijana 🤠🤠Uje unifunge
🤣🤣🤣Kazi ipoView attachment 3610273
Deepline 🤠🤠
Unafungwaje na una kikosi chote hicho Vieira wa France kabisa si hutembei
Umepiga sana kazi🤣Apo ukimaliza mechi inabidi mikono uichue
Kaweka jina la mchumba ake 🤣
Me nimeingia tuu jioni game ya kwanza nikawekwa🤣🤣mwamba ana mpira wa hovyo sana🤣
Ya PUBG??Upoo? Nipe username
Huku kuna phases huwa ni week tatu mpak nne ikiisha wote mnaludishwa nyuma sisi wa div one tunalud 3 div two wanalud 4 div 3 wanalud 5 na kuendelea hukoMazei mbona nimerudishwa division 6 na nilikua 4? Na sijacheza hata game
Kacheza WarlD kwanini apo asifungwe 🤠😂🤠😂Unafungwaje na una kikosi chote hicho Vieira wa France kabisa si hutembei