Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 1,081
- 3,009
Kweli wameacha uchaga.. mana nimeona kuna mtu yupo points 2000+ ila akapewa points 23 na haijawahi kutokeaPoints 26 promotion match siku hizi konami wamepunguza uchagaššView attachment 3600733
Eniwei achaneni na loss zangu nimebadilisha formation kama CorrieView attachment 3600735
Ndo mana watu wamejaza points nyingi saivi kule juu utadhani hackers kumbe sio