Wanipe Inzaghi tuuMapema tu wakinipa cruyff ntawasamehe dhambi zao za kutonipa epic card kwa spin coins 😂
SalamalekoUnantafuta ninni lakini ...🙃🙃
Ulilala nyumbani kwel jana?🤣Nlisahau nafungua game ndio nakumbuka leo siku ya update.
Mapenzi hayo, mkiambiwa muwe single focus na eFootball peke yake mnatuona wabaya 😂Nlisahau nafungua game ndio nakumbuka leo siku ya update.
Mamiyake😃Nje ya mda. Hatupo bongo😂🙌🏾
Shikamoo 😂Nje ya mda. Hatupo bongo😂🙌🏾
Sawaa😃Ahaa shida nyie mpo bongo😂
Hawana wema hawa tatizo 😂Wanipe Inzaghi tuu
Ahaa shida nyie mpo bongo😂
Alale nyumbani na Lab*ll* alale na nani? 😂🙌Ulilala nyumbani kwel jana?🤣
Waulize kabisa ( mnatokea bongo )Ahaa shida nyie mpo bongo😂
Kheeh mbona ghafla sana win amemuacha au😃Alale nyumbani na Lab*ll* alale na nani? 😂🙌
Kijana kawa malaya sana huyo anakitembeza kama anauza icecream za azam 😂😂😂Kheeh mbona ghafla sana win amemuacha au😃
Kheeh😃