Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,464
- 29,877
Yule wa 30 anniversary phenomenal passAccount yake anae Rooney
Yule wa 30 anniversary phenomenal passAccount yake anae Rooney
ItakuaYule wa 30 anniversary phenomenal pass
Hivi siwezi kuwa mechi zangu nacheza asubuhi ama mchana.Yule wa 30 anniversary phenomenal pass
Unampanga tu mtu mapemaHivi siwezi kuwa mechi zangu nacheza asubuhi ama mchana.
Maana ntakuwa mgawa utamu humu.Unampanga tu mtu mapema
Round two una Lestone mcheze nae kesho mchanaHivi siwezi kuwa mechi zangu nacheza asubuhi ama mchana.
MkuuNipo naenda online
Tuchape na ajira mkuu mtaani kugumuView attachment 3600263Vijana wanahitaji ajira hawa 😂💔 Phase haina hata siku 5 ila mtu kacheza games zaidi ya 300 🙌
Hali ni mbaya mkuu😒View attachment 3600263Vijana wanahitaji ajira hawa 😂💔 Phase haina hata siku 5 ila mtu kacheza games zaidi ya 300 🙌
Huyu mimi kabisaView attachment 3600263Vijana wanahitaji ajira hawa 😂💔 Phase haina hata siku 5 ila mtu kacheza games zaidi ya 300 🙌
Jioni kama utakua free tufanye jamboMkuu
Naomba friendly mkuu😂😂😂Hap sawa 😀 ajiandae kisaikolojia hku akimuuliz deesal last match ilikuwaj?😀😀
Pelius Mwamba upo tayari au kesho
Mfate telegram kule...Hapa nilikua nmeshapotea kwenye network ila sasa hv nipo free