Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,847
- 4,814
Kwanin kisa unalazimisha draw au😂😂😂
Kwanin kisa unalazimisha draw au😂😂😂
Njoo nikupe training.Pumbavu nin😂😂😂😂kana kwamba uliniachia ukaacha kuchezaa mtu ULOGII TUUUUU
Toaaa ujingaa hapaaNjoo nikupe training.
Usisahau promotion punguzo la ada ni 50%
Ulishinda njaa au 😃Hiv depal na desaal ni twins🤔😂💔
Em matokeo mnatuma waap maan me nmeshinda mech zang jana sion msimamo ukibadilika!
Shikamoo na wewe kaka😃
Anajua basi😃😃Tuma hapa matokeo
Yupo training.
Sawaa recorded...View attachment 3600430View attachment 3600432WarlD vs lestone
Nitoe pongezi za dhati kwa ndugu yangu huyu ukweli ilikuwa ni mechi yenye ushindani kama Senegal 🇸🇳 na timu ya samuya ( Serengeti lager ) na mwisho wa yote timu bora ikaibuka na ushindi.
Selikavu
Sawa mkuuSawaa recorded...
Nikupe Favor wewe na Pelius Mwamba chezen na mtu yoyote ambaye atakuwepo mchana hawa wengine ambao watakua adimu weekend ili game iwe fair
Pelius Mwamba tumwambie Selikavu mechi yetu ichezwe weekend maana mm mchana sina nafasi hata ya kuibia
Pelius Mwamba tumwambie Selikavu mechi yetu ichezwe weekend maana mm mchana sina nafasi hata ya kuibia
Ok basi weekend nitajitahidi mkubwa
Mkuu kesho wahi kwenda live wakati konami wakiwa live uzingatie kwenye code za kupata free card kwenye pack ya cryuff 😂Kandambili1 vp masta
Oya CR7 anakuja kesho kwenye pack ya portugal najua coins unazo za kutosha tajiri 😂Pelius Mwamba tumwambie Selikavu mechi yetu ichezwe weekend maana mm mchana sina nafasi hata ya kuibia
😀😀 kaka yan mech ya pili tunachez ila sipo hapo wateja aiseeView attachment 3600430View attachment 3600432WarlD vs lestone
Nitoe pongezi za dhati kwa ndugu yangu huyu ukweli ilikuwa ni mechi yenye ushindani kama Senegal 🇸🇳 na timu ya samuya ( Serengeti lager ) na mwisho wa yote timu bora ikaibuka na ushindi.
Selikavu
Tumekataa kujieleza braza 😃😀😀 kaka yan mech ya pili tunachez ila sipo hapo wateja aisee
Ndio napoa saiz
😄😄 na nimejielez lazm nijiteteTumekataa kujieleza braza 😃