Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,838
- 12,163
Nipo online we tuma invite ๐Nakusubiri uje online nku invite, unapenda code kwann๐๐
Nimekuwa nikikutumia invite huingii ndiyomaana ๐๐
Nipo online we tuma invite ๐Nakusubiri uje online nku invite, unapenda code kwann๐๐
๐๐๐Bado anajitafakari namna gani paleRazor amegoma kuamka kisa goal 3 tu jamani ๐
Pole sana mkuu tupe username tutakamatana OnlineAccount yangu ilipotea saiv ninayo mpya
๐๐๐Labda kuwai kutoka ukipiga link up๐คฃView attachment 3594109aisee naskia Hadi golini yupo vizuri๐
Master upo ๐Tunapishan ratiba aise๐๐
Mbona hujamweka kundi la Desaal๐๐Uhakika ๐
Nadownload nakutumia ๐คฃNimejaribu hadi kuipakua lakini hakuna kinachoingia, kama ni video ya daily penalty na isifunguke tu ๐๐๐
๐๐๐ Razorbrade game ya tatu hii no win...
Yan Sijui akiingia room anaona kama team yako anatetemeka๐๐๐Razorblade namna gani hapa๐
Tuguse master efootball ๐Master upo ๐
TwendeTuguse master efootball ๐
Nimemvungia ๐Mbona hujamweka kundi la Desaal๐๐
Fala ๐Nadownload nakutumia ๐คฃ
Ananinyanyasa sana ๐๐๐๐๐ Razorbrade game ya tatu hii no win...
Wewe ndo umetoka bhana ๐Mbona umeondoka online chap
Umekimbilia huku kuja kuleta mkeka Razorblade ๐๐๐
Poyeeee ๐๐Wewe ndo umetoka bhana ๐
Mikeka leta wewe kie nitaleta tofauti na mikeka ๐๐
Saa ngapi turudi tenaAnaninyanyasa sana ๐๐
Umeniwahi ๐Poyeeee ๐๐View attachment 3594167
Kuanzia saa 10:30 turudi tena, hapa naboost simu ipate moto.Saa ngapi turudi tena