πππNitachange tu Id mimi kuepuka DhahamaEeh! Konami msijeruhusu nikafungwa na huyu noob, mnaweza fanya niombe ban kwa muda... Amiiin πππ
Tutatumia Fluban yataisha hayo.Nimeota unataka kunitoa mafua π
Kweli upo mafunzoni π
Selikavu andaa pambano mkuu, naanza kuelemewa πKesho ntakurekodia penalty yanguπ
We unampelekea mkononi kama mwacheza rede
Injury zitatawala mpaka subs πUmeishaππ
Yuko mute kule kama hakuna kinachoendelea πKwan kelele za F zimetoka wap kama sio kule πππ
Kwahiyo shem amebeba mimba mpaka anajifunga mie sijui, mkuu kwanini umenificha taarifa kama hii?Muanze kunilipa nina familia saivπππ
Nimeshaanza kuogopa ππππNitachange tu Id mimi kuepuka Dhahama
MnakimbianaUpo mzee?
ππ pass zina shida gani zikiwa mingiKweli upo mafunzoni π
Nitaiga kupiga tackles ila siyo hizo pasi ππ
Kampelekea et kabisa kama anamdakisha redeπMlidharau somo
Apo andaa room ukajichapie huyoKampelekea et kabisa kama anamdakisha redeπ
Amna me naona kipa wangu anaruka Vice versaMlidharau somo
Jaribu kumfuatila siku kadhaa na uchezeshaji wa mikonoAmna me naona kipa wangu anaruka Vice versa
ππ mwisho nitoke bila ndala huko
Ukishindwa kumfunga Razorblade na huyu noob Corrie de killer basi waliobaki hawana wema.ππ mwisho nitoke bila ndala huko