Hamna nimemuokota tu akajaa kwenye mfumo 😂😀😀😀 kumbe we mbad
Ila uwa unanipanga
Haki ya nani nakwambia hutojutia, huyo ameniachia tu 😂😀😀😀 Leo nimekoma… ila we unataka kuniua..Nimeiona nia yako.
Una mpango wa kunijutisha
Kwa heshima 😂🙌🤣🤣 kucheka hairuhusiwi
Funika meno hayo
Raia wa Jf mnaogopana sana , sisi DLS Uzi wetu tulipeana namba tukawa tunaruka Wasap miaka ya nyuma kabla ya kustaafu 😂 😆Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya Jf
Kwa hali ya sasa ni halali watu tuogopane.Raia wa Jf mnaogopana sana , sisi DLS Uzi wetu tulipeana namba tukawa tunaruka Wasap miaka ya nyuma kabla ya kustaafu 😂 😆
Sema wangi wao tulio kuwa kule teregram tushakutana sana kwenye magroup ya watu watsap hukoKwa hali ya sasa ni halali watu tuogopane.
Cheza vzuri na pressure na dash 🤣Mimi nataka unifundishe kupiga hizo tackling, huwa napiga reckless tackle naishia kupata kadi ya njano au nyekundu 😂😂😂
Mimi nilikuwa najiamini sababu najua najichunga Jf siandiki vitu ambavyo vitafanya niwe wanted list .Kwa hali ya sasa ni halali watu tuogopane.
Kuna level ngumu unaicheza week nzima husogei, kule hamna coins.. kuna gold bar.. wajinga wanauza 10 kwa 5900 .. au utazipata ukishinda episode raceCand crush mnanunua coins za nn sasa😃😃
Kwanza upo level ya elfu kumi na ngapi maana kitambo sana unalicheza
Kuogopana kwa maslahi mapana ya usalama wako 😂Raia wa Jf mnaogopana sana , sisi DLS Uzi wetu tulipeana namba tukawa tunaruka Wasap miaka ya nyuma kabla ya kustaafu 😂 😆
Ila wamenikaba sana nikashindwa kuvukaWewe ni France uliamua kutafuta mtu wa kucheza nae???😃😃
Mwanzo mzuri😃una moto🙌
Ila mbona umemiliki sana mpira😃😃😃
Hizo zimenishinda 😂Cheza vzuri na pressure na dash 🤣
Nataka ukanifungeIla wamenikaba sana nikashindwa kuvuka
France wameniboa.. nawabadili
Sijapewa kikosi badoNataka ukanifunge
Mm mwenyew ninakikosi cha mchongo hakija fika hata 3050Sijapewa kikosi bado
Hiki hiki unataka ukaniue nacho?
Miss Bebe
Hii Miss Bebe username mpya?Sijapewa kikosi bado
Hiki hiki unataka ukaniue nacho?
Miss Bebe
Ni ile ile nilibadilisha tu jina kwenye harakati za kuhamishiwa kwenye kikosi kipya. Sema hatujafanikiwa badoHii Miss Bebe username mpya?
Poa, usilale mapema sasa baadae tuguse 😂Ni ile ile nilibadilisha tu jina kwenye harakati za kuhamishiwa kwenye kikosi kipya. Sema hatujafanikiwa bado
Ila acc ni ile ile niliyokuaccept