Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,236
- 29,275
Nikisema nifungue game tu twende sifanyi kazi acha nijikaze muda huu nisingie roomYeah itakuwa
Nikisema nifungue game tu twende sifanyi kazi acha nijikaze muda huu nisingie roomYeah itakuwa
😃kam kaz ipo we pigaNikisema nifungue game tu twende sifanyi kazi acha nijikaze muda huu nisingie room
Acha nikomae hapa nadhan weekend ndo nitakua na muda mrefu wa kucheza😃kam kaz ipo we piga
😀 sis wengin kaz zet. Kusbr wateja, nao wanakuj kwa kunyataAcha nikomae hapa nadhan weekend ndo nitakua na muda mrefu wa kucheza
😃😃😃Unaingia division mteja anakuja😅😅😅😀 sis wengin kaz zet. Kusbr wateja, nao wanakuj kwa kunyata
Ewah😃jap mm kwa hap nawadau weng nawez waachia me nikaendelea na mtej😃😃😃Unaingia division mteja anakuja😅😅😅
Utachagua Loss au hela😅
Hapo unyamaEwah😃jap mm kwa hap nawadau weng nawez waachia me nikaendelea na mtej
Hamna siwezi na huo muda sina 😂Hujaamua tuu😃
Leta code mkuu 😂
Maliza comments kwanza uone machungu niliyo nayo😀Leta code mkuu 😂
Naogopa kufinywa 😂Nkuonyeshe kitu.. mtu akicheka namfinya😀😀View attachment 3591713
Mabuti unaruhusiwa ila yakizidi utakula njano za kutosha na mwisho red kabisa 😂😀😀😀 Razor kaniambia mabuti sio mazuri nikayamaintain. Kumbe yanaruhusiwa as defence mechanisim?
Wameishaaa
View attachment 3591738
Huwa inauma hapo tu 😂😃😃😃Unaingia division mteja anakuja😅😅😅
Utachagua Loss au hela😅
Nilitaka nikutag nikaona acha ikaeHuwa inauma hapo tu 😂
Umeyatimba PvP ukajua ni AI 😂Maliza comments kwanza uone machungu niliyo nayo😀
Unaweza muona mtu kama mhaini na hela yake unaitaka, inauma zaidi pale akwambie nimekuja kuuliza bei tu 😂🙌Nilitaka nikutag nikaona acha ikae
😀😀😀 kumbe we mbadDepal Ukija room uwe umekula na umeshiba 😂
View attachment 3591782
View attachment 3591783
View attachment 3591784
View attachment 3591785
View attachment 3591786
View attachment 3591788
View attachment 3591790
Full Time
View attachment 3591791
Sikutishi 😂🙌
😀😀😀 Leo nimekoma… ila we unataka kuniua..Nimeiona nia yako.Umeyatimba PvP ukajua ni AI 😂
Ila hongera umetawala mchezo, kaza vidole 😂🙌
Ukija twende tukafundishane 😂, usiponikuta huku mwambie Selikavu aniite au nikupe link ya telegram kwa urahisi 🙌🙌🙌
🤣🤣 kucheka hairuhusiwiNaogopa kufinywa 😂