Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,204
- 29,198
Sawaa kaka ya jana yameisha😃😃😃me kibonde tuuTwend mzee ngj niingie
Sawaa kaka ya jana yameisha😃😃😃me kibonde tuuTwend mzee ngj niingie
😃😃😃mbn unajitetea mapema mzeeSawaa kaka ya jana yameisha😃😃😃me kibonde tuu
Embu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza 😂Mimi ndo nimeamka
Nishibe chai.. nipate penati nije kupitia 🤣
Good morning all
Hahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Mechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawa😃😃
Niliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanza😃😃😃Mechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawa😃😃
Sikuscreenshot😃Hahaha mbn hupost ile uliyo shinda ww
Kaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Amepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndani😀😀Embu nitajie huyo mpiga penati anaitwa nani kwanza 😂
Good morning.
Net ilikuwepo ila cjuh shida nn 😃 ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma playerNiliona nikajua huna net ikabid nislow down kwanza😃😃😃
Owaa watu wanatembeza kichapo😃😃ulud tuu labda Rooney atawaweza😅😅😅Kaka siku hizi umekua mnyonge kwani
Aah kumbe ningeendeleza moto😃😃Net ilikuwepo ila cjuh shida nn 😃 ndio maan mech ya pili nikaon hap ni kaze sasa vidole kam wasemavyo ma player
😃😃tutagusa tenaAah kumbe ningeendeleza moto😃😃
Hahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yaoOwaa watu wanatembeza kichapo😃😃ulud tuu labda Rooney atawaweza😅😅😅
😄 wanadai kwamb wanachaji hio hela kwa7bu ya policy za nchi ye2 nayo inawachaji hela nyingiHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao
Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana 😂🙌
Kwa heshima master 😂🙌Amepata.. leo kipa kaenda kule kule nilikopiga, ila mie niliinyanyua juu kimtindo so ikazama ndani😀😀
Nikutajie umuibe?
Huwa unabutua mbele mbele yao??Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana 😂🙌
Hapana ila tangu nimeanza kucheza game sijawahi fikisha hizo pasi hata nikicheza na AI 😂Huwa unabutua mbele mbele yao??