Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,348
Jambo jema kabisa master 😂🙌🤣🤣 uzuri nimeshakuona kule
We ngojaaaa
Jambo jema kabisa master 😂🙌🤣🤣 uzuri nimeshakuona kule
We ngojaaaa
Kwenye events, hata training kule zipo coins.Kwani we ulizitoa wapi?
Kama mwanga vile 😂😂😂😃😃😃Atakuja sio muda mrefu
Gifts amesahau 😂Kaka kwel ni kitu hicho pekee una uwakika??😃😃😃
Urongooo 😂🙌Nishaspin zote coin Zina soma 0 balance
Hichi kichwa chako haki ya nani nimekipenda 😂🙌
Halafu kuna lile Meta AI nalo jinga 😂Hajawi kubali kama hajui😃😃😃
Chats ni nyingi mno napita taratibu 😂😂😂 ndio umeamka
Hamna 😂Unataka nifukuzwe humu
Tulia wewe 😂Aje nmkodishe kikosi asije na Kina mpanzu
Selikavu embu leta mafaili yake huyu nione 😂Review the pages😂, am the founder usijisahau🙌🏾
Uchawi kakufundisha nani? 😂😂😂Wiki😂 una mwezi wa kuteseka hadi umkumbuke wog
Fala wewe 😂😂😂Uandae ya nini mkuu😂🙌🏾 nani utsmpiga ballistic missile wewe😂
ASeee😃hapo usijaribu hukuona watu wamemkimbia😃😃Sijui nkutest kabla sijalala
Hata kipindi kimoja tu 😀😀
Cand crush mnanunua coins za nn sasa😃😃Nikikufunga 3-0 napata ngapi?
Cheap.. compared to candy crush
Mimi ndo nimeamkaChats ni nyingi mno napita taratibu 😂
Good morning mkuu u hali gani...Mimi ndo nimeamka
Nishibe chai.. nipate penati nije kupitia 🤣
Good morning all