Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,555
- 11,359
Mr Cash 😂🙌Mr Enjoyment, continental, Tap master 😃😃
Mr Cash 😂🙌Mr Enjoyment, continental, Tap master 😃😃
Anataka ajipigie noob mimi, nimecheka kifala 😂😂😂
Mimi nataka unifundishe kupiga hizo tackling, huwa napiga reckless tackle naishia kupata kadi ya njano au nyekundu 😂😂😂Nilicheza na Morocco, nkamfunga 5-1
Tackels zipo zipo nkaona nikiileta hii Razor atasema me sio mwema naumiza watu 😀
Ingawa na Morocco walikuwa na tackels 3
You're welcome.Sijui nkutest kabla sijalala
Hata kipindi kimoja tu 😀😀
Kazini kwangu kuna kazi 😂Nataka nianze nae nimfunze adabu😀
Kaniambia me napiga watu mabuti. Nimeumia sana 🥹🥹
Ukishinda mechi ya kwanza kwenye event pvp unapata coin 50Nikikufunga 3-0 napata ngapi?
Cheap.. compared to candy crush
Mkuu umenifunga mechi ngapi kwenye historia yako? 😂😂😂Kwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yake😂
Aje nmkodishe kikosi asije na Kina mpanzuKazini kwangu kuna kazi 😂
Nachoka mimi... 😂Anakosa hadi daily penalty 😀
Fala sana 😂Unaweza mapema tuu 😂
kaza wiki moja inatosha kupiga kibonde huyo
Khalas 😂🙌Mibuti tu 🤣🤣
Ila umejua kunitesa hii wiki 😂Nachokaa😂
Sema Kuna situation ana pitia mwanetu.
Akikaa sawa utakimbia😂
Mnaufala mwingi sana, ngoja niandae atomic bomb 😂😂😂Mwenye ile nyimbo ya mapenzi hayana mwenyewe aiweke hapa😃😃View attachment 3591402
Mimi nazitaka hizo tackle we unapunguza, kuna wakamiaji ukicheza bila tackles hutoboi 😂Kaza mwendo.. penye mateso njia iko karibu..
Nilijaribu match up mie
Tackles zikapungua 🤣
Nataka zibaki kdg.. ili Razor asiniseme
Nafwaaa 😂Napikiwa kikosi
Kinaiva soon
Atatafuta pakujificha asipaone😂🤗
Dah 😂Alisema atarudi saa 5
Leo nalala mapema, bahati yake 🤣
Heeh! Kazi kipimo cha utu 😂Njoo na coin, na mimi pale pawake wake
Sitoi elimu bure 😂😂