Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,062
- 28,843
Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya JfHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao
Daah itabid tuhamie tuu Whatsapp japo tulikuwa hatutaki hiyo kwa ajili ya kumntain Anonymous ya JfHahah tuta rudi tu pale na telegram watapo samehe ela yao
Kwa heshima😃😃tutagusa tena
Tz walikua wanataka Access ya Telegram ili waweze kudeal na maswala ya Usalama wamekosa kwahiyo wakaona njia pekee ni kufanya hivyo ili kupunguza watumiaji😄 wanadai kwamb wanachaji hio hela kwa7bu ya policy za nchi ye2 nayo inawachaji hela nyingi
Hujaamua tuu😃Siku nikiweza kufikisha hizo pasi 100+ nitafurahi sana 😂🙌
😃 hii kaliiHapana ila tangu nimeanza kucheza game sijawahi fikisha hizo pasi hata nikicheza na AI 😂
Ni jau san hii inchi😃Tz walikua wanataka Access ya Telegram ili waweze kudeal na maswala ya Usalama wamekosa kwahiyo wakaona njia pekee ni kufanya hivyo ili kupunguza watumiaji
Yan mateso kila sehemuNi jau san hii inchi😃
Hii sijaielew yan anatumia account ya mtu mwengin kweny kifaa chake?Account aliyoweka ni ya Corrie kwahiyo hiyo ya Warld inasoma yupo online kwa kuwa ni same device..
Mpe invite kwa Corrie atakuja Akitoka division
Ndiyo kwahiyo na account yqke inasoma ipo onlineHii sijaielew yan anatumia account ya mtu mwengin kweny kifaa chake?
Mnafanyaga nini hukoTz walikua wanataka Access ya Telegram ili waweze kudeal na maswala ya Usalama wamekosa kwahiyo wakaona njia pekee ni kufanya hivyo ili kupunguza watumiaji
Alitaka kukuuaMechi ya kwanz yan dakk 3 magol mawili aise nilichok pale, nikaishiw pawa😃😃
Walivyofungia Jf tulihamia telegram maana tulikua tunacheza leagueMnafanyaga nini huko
Mbona telegram ni bure jmn
Alijichanganya tuu😃😃 me siwezi muua😃Alitaka kukuua
Anhaa kmbNdiyo kwahiyo na account yqke inasoma ipo online
Yeye ubinadamu huo han kabisa😃Alitaka kukuua
Me mwema Sana mkuuYeye ubinadamu huo han kabisa😃
Mpe invite huko me nimecheza nae asubuhi tulikua na unfinished battle la jana usiku😃😃Anhaa kmb