Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,031
- 28,765
We tumia match up tuu Dash mwachie Negan😃😃Leo nmeenda division kujaribu kukabia dash ni mateso aagh
We tumia match up tuu Dash mwachie Negan😃😃Leo nmeenda division kujaribu kukabia dash ni mateso aagh
Napikiwa kikosiUnaweza mapema tuu 😂
kaza wiki moja inatosha kupiga kibonde huyo
Sikumbuki sijui Ni chemical yule nishasahau Mimi 😅😅Ya nani vile😂
Alisema atarudi saa 5😃😃😃😃Mzoee tuu
Apo tuma voice note kwa tajiri Corrie de killer afanye jamboNawahongaje na sina hata coin 1 pale😀
🤣🤣 uzuri nimeshakuona kuleDah! Ishakuwa noma sasa 😂
Nitatumia mbinu yako ya kupiga mabuti kukwepa majuto 😂🙌
Kwani we ulizitoa wapi?Nakupea wapi sasa? 😂
😃😃😃Atakuja sio muda mrefuAlisema atarudi saa 5
Leo nalala mapema, bahati yake 🤣
Wanamwita Corrie Macoins 😃😃Apo tuma voice note kwa tajiri Corrie de killer afanye jambo
Zinapatika kwa kuwin event ya pvp ama kwa kununua 3000Tshs unapata coin 250 kama sijakoseaKwani we ulizitoa wapi?
Ndiyo kitu pekee anajivuniaWanamwita Corrie Macoins 😃😃
We sio mwema
Muungane na huyo bibie na hamfungiMwingine huyu Corrie de killer
Sikuonyeshi ya Morocco wallaqh kama mambo ni hivi 😀😀Kheeh tackes sita🤦😃tunatengeneza monster aseee😅😅😅tumeisha
Drop codeMuungane na huyo bibie na hamfungi
Kaka kwel ni kitu hicho pekee una uwakika??😃😃😃Ndiyo kitu pekee anajivunia
We leta tuu tuweke kumbukumbu 😃😃Sikuonyeshi ya Morocco wallaqh kama mambo ni hivi 😀😀
Na TikTok channelKaka kwel ni kitu hicho pekee una uwakika??😃😃😃