Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,906
- 12,312
Anataka ajipigie noob mimi, nimecheka kifala ๐๐๐
Mimi nataka unifundishe kupiga hizo tackling, huwa napiga reckless tackle naishia kupata kadi ya njano au nyekundu ๐๐๐Nilicheza na Morocco, nkamfunga 5-1
Tackels zipo zipo nkaona nikiileta hii Razor atasema me sio mwema naumiza watu ๐
Ingawa na Morocco walikuwa na tackels 3
You're welcome.Sijui nkutest kabla sijalala
Hata kipindi kimoja tu ๐๐
Kazini kwangu kuna kazi ๐Nataka nianze nae nimfunze adabu๐
Kaniambia me napiga watu mabuti. Nimeumia sana ๐ฅน๐ฅน
Ukishinda mechi ya kwanza kwenye event pvp unapata coin 50Nikikufunga 3-0 napata ngapi?
Cheap.. compared to candy crush
Mkuu umenifunga mechi ngapi kwenye historia yako? ๐๐๐Kwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yake๐
Aje nmkodishe kikosi asije na Kina mpanzuKazini kwangu kuna kazi ๐
Nachoka mimi... ๐Anakosa hadi daily penalty ๐
Fala sana ๐Unaweza mapema tuu ๐
kaza wiki moja inatosha kupiga kibonde huyo
Khalas ๐๐Mibuti tu ๐คฃ๐คฃ
Ila umejua kunitesa hii wiki ๐Nachokaa๐
Sema Kuna situation ana pitia mwanetu.
Akikaa sawa utakimbia๐
Mnaufala mwingi sana, ngoja niandae atomic bomb ๐๐๐Mwenye ile nyimbo ya mapenzi hayana mwenyewe aiweke hapa๐๐View attachment 3591402
Mimi nazitaka hizo tackle we unapunguza, kuna wakamiaji ukicheza bila tackles hutoboi ๐Kaza mwendo.. penye mateso njia iko karibu..
Nilijaribu match up mie
Tackles zikapungua ๐คฃ
Nataka zibaki kdg.. ili Razor asiniseme
Nafwaaa ๐Napikiwa kikosi
Kinaiva soon
Atatafuta pakujificha asipaone๐๐ค
Dah ๐Alisema atarudi saa 5
Leo nalala mapema, bahati yake ๐คฃ
Heeh! Kazi kipimo cha utu ๐Njoo na coin, na mimi pale pawake wake
Sitoi elimu bure ๐๐
Jambo jema kabisa master ๐๐๐คฃ๐คฃ uzuri nimeshakuona kule
We ngojaaaa