Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,217
- 206,595
Nataka nianze nae nimfunze adabu😀
Kaniambia me napiga watu mabuti. Nimeumia sana 🥹🥹
Nataka nianze nae nimfunze adabu😀
Watasema hufai kabisaNilicheza na Morocco, nkamfunga 5-1
Tackels zipo zipo nkaona nikiileta hii Razor atasema me sio mwema naumiza watu 😀
Ingawa na Morocco walikuwa na tackels 3
Tupe dodoso unazuiaje hadi mpinzani hapati kufika golini kwako.Kabla sijamkwaza AI wa watu wacha nilale😀
Soon nakuja kujipima masomo kama yanaingia akilini Razorblade View attachment 3591401
Anakosa hadi daily penalty 😀Kwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yake😂
😃😃😃😃Mzoee tuuNataka nianze nae nimfunze adabu😀
Kaniambia me napiga watu mabuti. Nimeumia sana 🥹🥹
Mibuti tu 🤣🤣Tupe dodoso unazuiaje hadi mpinzani hapati kufika golini kwako.
Mimi hapaKwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yake😂
Mwingine huyu Corrie de killerKwani Kuna mnyonge mwingine zaidi yake😂
😂😂Mm sipoMwingine huyu Corrie de killer
Tumeanzisha darasa inabid ulipie😅Tupe dodoso unazuiaje hadi mpinzani hapati kufika golini kwako.
Unahonga marefa 😂😂Mibuti tu 🤣🤣
Mwenye ile nyimbo ya mapenzi hayana mwenyewe aiweke hapa😃😃Nachokaa😂
Sema Kuna situation ana pitia mwanetu.
Akikaa sawa utakimbia😂
Leo nmeenda division kujaribu kukabia dash ni mateso aaghTumeanzisha darasa inabid ulipie😅
Ya nani vile😂Mwenye ile nyimbo ya mapenzi hayana mwenyewe aiweke hapa😃😃View attachment 3591402
Nawahongaje na sina hata coin 1 pale😀Unahonga marefa 😂😂
Kaza mwendo.. penye mateso njia iko karibu..Leo nmeenda division kujaribu kukabia dash ni mateso aagh