Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Mkuu nimecheza na NEGAN mechi karibia zote nafungwa mabeki wanakuwa hawapo kwenye maeneo yao.Duuh mbona mpya hii
Mkuu nimecheza na NEGAN mechi karibia zote nafungwa mabeki wanakuwa hawapo kwenye maeneo yao.Duuh mbona mpya hii
Amejua kuninyoosha aisee 😂.😃😃😀Jitaid mkuu
Nilikuambia cheza nae kabla ya kioo kuwekwa😀😀
Ukanibishia
Mpinzani wangu alikuwa bora kuliko mimi ila beki zangu zilikuwa zinakatika sana na ndo wanachoongelea hao jamaa.Kwa hiyo unahisi tatizo ni Alonso,😃
Mchukue Gasparini tuone hiyo theory yaoMpinzani wangu alikuwa bora kuliko mimi ila beki zangu zilikuwa zinakatika sana na ndo wanachoongelea hao jamaa.
Namchukua ngoja nijaze coins hapo, huenda ikawa kweli.Mchukue Gasparini tuone hiyo theory yao
Niliikuta huko mkuu😃nikawaza kama hukumpata mchukue kwenye Avatar yangu(Jokes kdg)😅😅unafukua makaburi. Kuwapata ma legend sio kazi ndogo uta choma coins sanaa
Hizi taarifa mbona sikuziona😃😃 hongera kakaYani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao 😂.
Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara 😂.
👇👇👇
View attachment 3311461
View attachment 3311462
Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.
Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia “Tony kill him” basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema 😂.
View attachment 3311482
Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
👇👇👇
View attachment 3311484
Hizo Gp umekosa pa kuzitumia kaka😃😃😃Yani hawa konami wawe wanaangalia na watu wa kuwapiga hizo script zao 😂.
Nimecheza mechi 6 tu, win 5, loss 1 halafu kuna mmoja nikamfanya mbuzi wa kafara 😂.
👇👇👇
View attachment 3311461
View attachment 3311462
Kuna watu wanasema Tony Adams hana speed, sipingani nao na wala sikubaliani nao ila nimempa kazi muhimu katika mechi ya mwisho.
Beki zipo juu halafu jamaa akapiga mpira mrefu Tony akaanza mfukuzia wakati huo nafikiria nipige tackling au niache maana huwa zinanishinda, jamaa nae akazidi kuupaka mate mpira nikaona bora kula red kwa manufaa ya timu, nikamwambia “Tony kill him” basi kabla jamaa hajaingia kwenye box tony akaitenda kazi vyema 😂.
View attachment 3311482
Hatimae nimemalizana nao kwa siku ya leo na napumzikia hapo kwanza.
👇👇👇
View attachment 3311484
Sawaa mkuu me nipoMkuu baadae nikiwa nimetulia zaidi.
Ahsante sana, walinikera ikabidi niwafungie booster na mimi 😂.Hizi taarifa mbona sikuziona😃😃 hongera kaka
Akiba hizo kuna kipindi huwa napata wachezaji halafu unakuta point za develop zimeisha, huwa nanunua kupitia hizo GP.Hizo Gp umekosa pa kuzitumia kaka😃😃😃
Booster ya Tackling 😃😃😃Ahsante sana, walinikera ikabidi niwafungie booster na mimi 😂.