Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,218
- 10,511
Shida siyo umiliki mkuu shida ni pale unapopoteza mpira ni faida jwake maana wachezaji wako wanakuwa wamepanda na ndo makosa yaliyofanyika katika mechi zote.Ukitaka kumfunga LBC miliki mpira umemaliza kazi