Username naionea kwa wapiUshakuwa pro tayari π
Naomba username yako ukanifundishe kupiga penalty ππ
Naona WalrD amekutekaππvita yenu haijaisha badoOky naingia soon hapo
ππAah ile ya Ms Beverly kama sijakosea ndo hiyoUsername naionea kwa wapi
Maana ni kama wamenichanganyia mafile
Afu usiende kwa kipa na viwembe ππ
Kama wapi?Hiyo Navy ni username yako google games.
Nitoke wap tena ππshem atoke tu huko, aje hukuu. Lol
Nikuongeze lingine la kukimbia weka na Relic RunnerππKama wapi?
Me nacheza temple run, subway suffer, candy crush na vita mahjong. Na hii Konami π
Now now nalishusha πNikuongeze lingine la kukimbia weka na Relic Runnerππ
Nimelicheza way back ngoja na mimi nilishushe tuanze kushindana hizo level ππNow now nalishusha π
Aise leo nimeacha ndal kwa WalrDπππNaona WalrD amekutekaππvita yenu haijaisha bado
Mkuu naona net ni chenga.πππHuna ubinadamu weweππΎ
Hiki kichwa πππGood evening
Mmeshindaje
Poleni na uchovu wa majukumu
Nasubiri pakuche niconcetrate na mikono ya kipa, kisha nimpe shuti qaliiii..watu weuweeeeeππ€
Aise mabeki zangu leo sijuh walimezeshwa magimbi yan wote wanaenda mbele babekiMkuu naona net ni chenga.
ππSio mwema kabisa huyo hukuona mtu amepigwa naneAise leo nimeacha ndal kwa WalrDπππ
Mkuu huwezi kunizuia huyo ndiyo mimi siku ile ilikuwa karibusha mgeni πππAise mabeki zangu leo sijuh walimezeshwa magimbi yan wote wanaenda mbele babeki