NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,769
- 4,292
Hapo unajutia kuondoka 3300 parefu😀Toka nlipopotea telegram sababu ni hii ni zaidi ya miezi miwili sasa😂
Hapo unajutia kuondoka 3300 parefu😀Toka nlipopotea telegram sababu ni hii ni zaidi ya miezi miwili sasa😂
Usiku saa 4 tumalizane na kina kandambiliToka nlipopotea telegram sababu ni hii ni zaidi ya miezi miwili sasa😂
Hata sijuh aisee nimekut tu pale imeandikwa premium pay ya one week iliifunguke ni €1. Some things😀Hii imeanza lini😀
Upo tukaguseFamilia wa kugusa mnistue
Nipo twendUpo tukaguse
Tutakua tunashinda na huku pia japo kule kuna wana hawatumii Jf walijoin tuuNgj nisubr usik maan
Kulipia 3300 kisa Telegram hpna
Falaa kwel🤣Nipo zahanati ya MICO hapa wananibembeleza, wanataka nichoma sindano joto lilipanda ghafla 😂😂😂
Ni elfu tatu wakuu 😃Hapo unajutia kuondoka 3300 parefu😀
Ba tamu ko wee ndo uwe wa mwishoo? Nimechekaa sanaaa.Hongera kwa Kandambili1 na its Tommy kwa kushinda Jf Coop league
View attachment 3590381View attachment 3590380



Watu wanaponda sana wametugeuza vibonde🤣🤣Ba tamu ko wee ndo uwe wa mwishoo? Nimechekaa sanaaa.
![]()
Uwakika 🫡🫡Tutakua tunashinda na huku pia japo kule kuna wana hawatumii Jf walijoin tuu
Next league nitakupanga mapema...Uwakika 🫡🫡
Kuna nilichotaka kusema ila basi ngoja nikae kimya 😂😂🙌Toka nlipopotea telegram sababu ni hii ni zaidi ya miezi miwili sasa😂
Uwakik ntajitahid kuwepo mzeeNext league nitakupanga mapema...
Mechi huwa ni saa nne
Aah hiyo notification achana nayo 😃😃Selikavu button ya pass kuna muda inatoa notification ya wrong command 😀😀
Ntatoboa kweli!! Au nirudi candy crush