NimelikutaTokeo lipo telegram 2 - 1 kanifunga
Uzi wa jamaa yako unapata reply kumjadili yeye na jina lake .Nimelikuta
Wee ulisema.Dah nani kasema hivi
Tangu mchana anatuwaza jion kaona atupandishie uzi😃😃Uzi wa jamaa yako unapata reply kumjadili yeye na jina lake .
Dah nasingiziwa vingi sana 🙂Wee ulisema.
Angebaki humu tu kutusaidia kukuza uzi wetu.Tangu mchana anatuwaza jion kaona atupandishie uzi😃😃
Ulisema ndiyoo, kati ya mie na wfootball nani kamkuta mwenzie?Dah nasingiziwa vingi sana
😃😃Kwel kabisaMtoa mada anachekesha akiwa hatoki kwenu
Mimi huyu🤦🤦🤦🤦Ulisema ndiyoo, kati ya mie na wfootball nani kamkuta mwenzie?
Itakua ulishiba kweli, najuajee sasa,Mimi huyu
Labda nilikuwa nimeshiba
Naanzaje kuchagua Efootball zidi yako unless otherwise ubongo ulikuwa haufanyi kazi yake na mara nyingi huwa wakati nimeshiba😃😃Itakua ulishiba kweli, najuajee sasa,
Itakua hivyo bas ba tamu.Naanzaje kuchagua Efootball zidi yako unless otherwise ubongo ulikuwa haufanyi kazi yake na mara nyingi huwa wakati nimeshiba
FTS nimecheza 2016😃😃😃😃kitambo kwel tena lile hackedGame ni FTS tu . Yani nasajili mchezaji ananigomea🥹🥹 anataka pesa nyingi.. yani full reality
NIlipata contract ajax, nikakuta wana mpunga wa kutosha,nikafanya usajili wa hovyo nikaishia kuwashusha daraja🥹FTS nimecheza 2016😃😃😃😃kitambo kwel tena lile hacked
Mwisho wa msimu ukasepa🤣🤣Usinik
NIlipata contract ajax, nikakuta wana mpunga wa kutosha,nikafanya usajili wa hovyo nikaishia kuwashusha daraja🥹