eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ma mkali game umelishusha tayari?

We jamaa unataka akajifunze kwenye live stream bila kumpa hints hata kwa picha namna ya kuzuia na kushambulia?

Mpe dokezo walau akija live akiona unashambulia/kuzuia ajue umetumia button zipi.

Umeniita mwenyewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie mejiii jamaaniiii.
 
Sasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia mejiii.
Usijali mejii asipopataka mie ndo napopataka, tenga chakula mezani mie ntakula kwa niaba yake 😂

We fala Selikavu usinitesee shemeji yangu 😂🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom