Hao ulowatag ni wanafunzi wenzako, jobless au nao wanaishi kwa shemej zao?
Dah nani kasema hivi šSasa mwenzio huyo kaka ako hanitaki, eti anaitaka efootball.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss pia mejiii.
Karibu ujumuike mkuuHuu ni uzi wa wanafunz wa vyuo, wasio na kazi na wanaishi kwa shemej zao tu
Amekuja kufanyaje sasa kama anajua hamuhusuš¤£
Maisha fanya unachopendašdunia ishabadilika muda sanaJau sanaš
Mkuu kazi kwel kwel eniwei ni mtazamo wakeAnalazimisha wote tupende pombe sijui.
Hajui game halihusiani na maisha šÆ
šššNgoja tuone kama tutatengeneza kundi la Whatsapp kww ajili yakoššWasalimu telegram ššš¾
Waambie night wawe wanakuja niwape code na vipigošš
Niliona mapema tuu ššyupo kutusema sisi š¬Hilo lijamaa jau sana, kasome Tena username yakeš®šš¾
PamojaLeague yetu ya Coop
Team zipo tano...
Tutacheza Mfumo wa Round kila timu itacheza na team zote kwenye league...
Game itakua moja lakin pia kutakua na round two...
So Round one mechi moja then ukishamaliza opponent wote tunaanza kuludiana...
Kwakua zipo team Tano team moja kila siku itakuwa inapumzikaššš
Game ni moja ya Dakika 12
No extra time
Condition excellent..
Injuries Off
KUWAKEšŖView attachment 3587024
Round One
View attachment 3587025
Achana naeMthenge.
Leo usiku kutaanza kuwakaPamoja
Tunaanza Leo.