eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nani kakudanganya kuwa ukicheza game huwezi kufanya mambo mengine ya muhimu?

Unajua maana ya leisure jamaa? Ukitoka hapa utawaambia watu wasiangalie movie, wasisikilize mziki, wasitoke ma mademu grow tf up dude
Yan ushinde unacheza gemu kutwa nzima halaf useme unafanya kazi? Labda kama hiyo kazi ni ya kupiga vizinga watu upate hela ya kula, kubet na Kununua wachezaj na kubishana kuhusu mpira hata hao bodaboda hawana muda wa kucheza efootball kutwa nzima kila siku.

Sisi tunawashauri tu fainal uzeeni
 
Wew ambaye hauchezi game kitu gani cha maana umefanya.
 
Ppoa ngj niingie
Kwa heshima😃😃👋

Nimechoka aseee😃😃 until next time
Screenshot_20260513-150505.png
Screenshot_20260513-160605.png
 
Leo siku mbaya kazini division nimepigwa sijui game 10 zile leo leo tuu nasema niache anakuja mtaalamu na request game zote hakuna nilichocheza nimebadilsha formation wee hakuna kitu nimefanya😃😃

Baadae Coop league sijui niende mitini😃😃
 
Back
Top Bottom