Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,290
Kutana na master Warld mpira mzuri 😬
Edo kissy Gilberto_ Razorblade NEGAN Kandambili1 Corrie de killer
Edo kissy Gilberto_ Razorblade NEGAN Kandambili1 Corrie de killer
😂😂Marmoush atafutiwe AMF sasa😂😂😂 mastriker ninao chungu nzima🤣
View attachment 3514824
Tuishi humo 😂Kutana na master Warld mpira mzuri 😬
Edo kissy Gilberto_ Razorblade NEGAN Kandambili1 Corrie de killer
View attachment 3514822
Imekuwaje tena mkuu?Efootball mmepita na account yangu Mungu anawaona🙄🙄
Niliamka siku moja najaribu kuingia ghafla wananianzisha upya nduguImekuwaje tena mkuu?
Hukulink na Konami ID?Niliamka siku moja najaribu kuingia ghafla wananianzisha upya ndugu
Aisee ungekuwa na telegram ungeingia kwenye group kupitia link hapo juu, kule tungeoata muda mzuri wa kujaribu kuirejesha.Nililink lakini kuirudisha nimehangaika,nimeamua kuanza upya tu
Asee pole mkuuEfootball mmepita na account yangu Mungu anawaona🙄🙄
Tulihamia telegram baada ya Jf kuwa bannedKwani mliacha kucheza eFootball ama?
Tupo mkuu ni vile tumehamia Telegram baada ya ban ya JF.Kwani mliacha kucheza eFootball ama?
Unakimbia sana wewe kijana, kufungwa ni palepale tu 😂😂😂Wakubwa heshima zenu
🔥🔥eFootball 2026
View attachment 3530590
View attachment 3530591
View attachment 3530592
Kwa heshima 🔥🔥🔥