eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Tokeo ni moja tu mengine hayana faida 😂
Screenshot_20260202-000602_eFootball.jpg

Gilberto_
 
kwenye kucheza career pale unapoambiwa uongeze uwanja ili ucheze daraja linalofuata unafanyaje, maana najaribu ila wapi, au coin zangu ndogo?
Kuna level ya uwanja unatakiwa ifike ile upande daraja sasa namna mzuri ya kujenga ni kujenga jukwaa moja moja level ya mwisho hii inakusaidia kujenga uwanja kwa gharama nafuu kwahiyo unaanza na zile Kona nne kila moja unaweka level ya mwisho then unahamia sehemu nyingine ile auto build inamaliza sana coins....

Ila pia huu uzi ni wa efootball kuna uzi special wa Dls upo me nimestaafu nina mwaka sasa sichezi DLS

Fene DR SANTOS adriz mtu wenu huyu😃😃
 
Mimi tokea kibonde wangu Fene alivyopotea nikaifuta DLS naendea mwaka na kitu sijagusa sasa
 
Back
Top Bottom