eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kazi niliyoipata kuwatoa Jf kuwaleta Telegram ndo kazi utakayo ipata kututoa Telegram kutuleta huku😃😃
Vp mkuu, nina changamoto ya kuwin mipira ya kichwa yani mfano kipa akianzisha mpira mrefu nikiruka na kudirect direction let say kushoto inaenda tofauti either direction iende kulia, nyuma au mbele mpira ulipotoka yani nishachoma magoli mengi sana sijui nakwama wapi.
 
Kama ni wakati wa kushambuliwa tumia clear hasa ila uwe makini kama yupo free tumia option ya pass kwa kipa kwa kichwa unabonyeza pass na direction kwa kipa...

Ila kwenye changanyike. Tumia clear...

Wakati wa kushambulia hakikisha mchezaji wako ni mrefu na pia ana skill ya heading na Aerial Superiority hii hata kwa midfielders jitaid wawe nazo inasaidia kuwin mipira vzr...

Humu ndani sijakutana na mtu anawin mipira ya juu kumzid Gilberto_ akija atatia neno
 
Ahsante mkuu, mipira naiwin issue inaenda direction tofauti na niliyoilenga.
 
Kazi niliyoipata kuwatoa Jf kuwaleta Telegram ndo kazi utakayo ipata kututoa Telegram kutuleta huku😃😃
Kazi juu ya kazi, ajabu inaoneonekana upatikanaji kwa Telegram ni rahisi kuliko huku 😂

Tutarudi tu ngoja hali ikae sawa, kule tutawaachia wafanyabiashara yao 😂🙌
 
Back
Top Bottom