eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Screenshot_2025-09-08-05-51-47-66_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Screenshot_2025-09-08-05-52-06-85_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Eti wameanza kunizimia taa, hapo nilikuwa natafuta coins 50 ili nipite na kijana Yamal 😂

Screenshot_2025-09-08-05-55-34-38_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Yamal kunyumba 😍

Screenshot_2025-09-08-06-55-52-58_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Assist

Screenshot_2025-09-08-06-57-17-61_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Goal

Screenshot_2025-09-08-08-52-59-06_dacb6cb66c1ceaabd92782c8217a74fb.jpg

Kijana mdogo kaanza kazi vizuri 💪
 
Ukaamua uweke AI Professional uzindue kipaji sio
Nikichukua card mpya huwa kabla sijaitumia manually huwa naweka AI legend mkuu hata mechi 3 mfululizo kuangalia namna anavyocheza kwa kuongozwa na AI.

Kiasi huwa inanisaidia kujua namna ya kutumia card husika hatakama inasemwa na wengi 😂😂😂
 
Hivi wakuu hili swala la kukaba mbona ni changamoto sana?? Yani unashikilia dash mpaka vidole vinauma ila uyo yamal anapiga chenga goli hadi goli na anafunga. Hakuna njia nyingine ya kukaba? Yani issue ya kukaba inaninyima raha sio siri hadi raha ya game inaisha, sometimes inabidi nifanye tickling kwa hasira naishia kula umeme. Msaada please. Nb. Nipo division 5.
 
Mwenzio uyu Razorblade ata kuelekeza ana tatizo ilo ilo😹
 
Back
Top Bottom