Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
Mbinu toka kwa masta RazorbladeWarld hawa marefa unawahongaje maana hiyo game uliyonifunga nimenyimwa penalty mbiliplus zilikuwa ni red card zote hizo
Mbinu toka kwa masta RazorbladeWarld hawa marefa unawahongaje maana hiyo game uliyonifunga nimenyimwa penalty mbiliplus zilikuwa ni red card zote hizo
Mbinu gani wakati mie mwenyewe natafuta mbinu.Mbinu toka kwa masta Razorblade
Wamekuuzia sh ngapi kaka 😃😃Kaka leo ndo nmepata VPN
Dah! Hii vita mbichi 😂😂😂Wamekuuzia sh ngapi kaka 😃😃
Kuna wengine wanatumia server tofauti na TZ(kwa walio TZ) na wengine ni kutokana na maeneo waliyopo sababu kupishana kwa masaa.Hii update mpaka saa ngapi wakuu mbona zone nyingine tayari wapo online
Mkuu hizi formation unatumia wewe?
Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnooMkuu hizi formation unatumia wewe?
Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala niniNdio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo
Aisee hongera sana.Ndio mkuu, nakiwasha vibaya mnoo
Wakuu tulieni mbona kama mmenipania, mjue mimi sina huruma ukijirengesha muraLete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini
Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine😃Lete username yako niku invite halafu nikuoneshe kuwa wewe hukiwashi wala nini
Mkuu uje Telegram ni secure kwa sababu una hide details zako kama contact na vitu vingine
Mnawezaje kununua coin kwa mpesa