eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hivi wakuu hili swala la kukaba mbona ni changamoto sana?? Yani unashikilia dash mpaka vidole vinauma ila uyo yamal anapiga chenga goli hadi goli na anafunga. Hakuna njia nyingine ya kukaba? Yani issue ya kukaba inaninyima raha sio siri hadi raha ya game inaisha, sometimes inabidi nifanye tickling kwa hasira naishia kula umeme. Msaada please. Nb. Nipo division 5.
Kuna Art of defending mkuu lazima ujue namna ya kukaba japo kila mtu anasumbuka

Kwenye AI tumia Dash sana wakiwa nje ya box lako ndo utumie match up....

Kwenye PvP tumia sana match up alafu kaba kwa akili zuia njia pia usikabie mabeki wako wa kati kati tumia sana midfield kukaba kabla mpinzani hajafika golin kwako lengo ni kumantain defensive line back yako isiwe na matobo mengi...

Alafu si ndo unatumia Out wide😃😃😃 tafuta kocha mwingine mkuu.. either wa QC au LBC
 
Warld utaniua na LB yangu
Screenshot_20250909-170845.png
 
Kuna Art of defending mkuu lazima ujue namna ya kukaba japo kila mtu anasumbuka

Kwenye AI tumia Dash sana wakiwa nje ya box lako ndo utumie match up....

Kwenye PvP tumia sana match up alafu kaba kwa akili zuia njia pia usikabie mabeki wako wa kati kati tumia sana midfield kukaba kabla mpinzani hajafika golin kwako lengo ni kumantain defensive line back yako isiwe na matobo mengi...

Alafu si ndo unatumia Out wide😃😃😃 tafuta kocha mwingine mkuu.. either wa QC au LBC
Wakiwa ndani ya box langu nitumie match up na wakiwa nje ya box langu ndio nitumie dash? Au sijakuelewa mkuu.
 
Hapo kocha wa QC au LBC umeniacha sijaelewa kitu.
 
Ukiwa unacheza na AI au computer sio real opponent tumia dash kukaba the wakikaribia box lako achia dash shika match up na Direction kaba njia wasipige mashoot...

Ila ukiwa una. Cheza na mtu tumia match up sana na dash pale tuu ukiwa unawai mpira
 
Hapo nimekuelewa mkuu shukrani sana nimeongeza kitu, ila changamoto nyingine ukiachia dash ukashika match up mchezaji anakua hamove kama anaganda hapo yamal ndio anapita kama upepo. Ok nitakomaa nao hivyo hivyo.
 
Hapo kocha wa QC au LBC umeniacha sijaelewa kitu.

Kwenye hili game pia kuna play style zipo tano
quick counter (QC), Possession Game, Long Ball Counter (LBC) Long Ball (LB) na Outwide ambayo unatumia wewe

Sasa kila kocha huwa ana play style yake wako Amorim ni Outwide ambayo watu wanatanua pemben sana katikati kuna Baki hakuna watu...

System nzuri ambazo zipo balanced ni Long Ball Counter na Quick Counter japo wataalamu wanatumia Possession Game vizur na yenyewe ipo balanced (sio kwangu)

Hizi system zinakupa ushambuliaji mzuri pia na kwenye kukaba zipo vizuri

... Kuna makocha wapo saiv pale wawili sema wanatumia style Long Ball Counter huwa tunaifupisha tunaita LBC

Mmoja ni Fabio Capello anauzwa coins 750

Mwingine ni Martinez anauzwa Coins 500

Hiyo QC kocha aliyepo wa style hii Mourinho anauzwa Elfu 10 ya kitanzania
 
Warld hawa marefa unawahongaje maana hiyo game uliyonifunga nimenyimwa penalty mbiliplus zilikuwa ni red card zote hizo
 
Kwenye hili game pia kuna play style zipo tano
quick counter (QC), Possession Game, Long Ball Counter (LBC) Long Ball (LB) na Outwide ambayo unatumia wewe

Sasa kila kocha huwa ana play style yake wako Amorim ni Outwide ambayo watu wanatanua pemben sana katikati kuna Baki hakuna watu...

System nzuri ambazo zipo balanced ni Long Ball Counter na Quick Counter japo wataalamu wanatumia Possession Game vizur na yenyewe ipo balanced (sio kwangu)

Hizi system zinakupa ushambuliaji mzuri pia na kwenye kukaba zipo vizuri

... Kuna makocha wapo saiv pale wawili sema wanatumia style Long Ball Counter huwa tunaifupisha tunaita LBC

Mmoja ni Fabio Capello anauzwa coins 750

Mwingine ni Martinez anauzwa Coins 500

Hiyo QC kocha aliyepo wa style hii Mourinho anauzwa Elfu 10 ya kitanzania
Poa mkuu ngoja nimvute mourinho kwani buku 10 kitu gani.
 
Kuna Art of defending mkuu lazima ujue namna ya kukaba japo kila mtu anasumbuka

Kwenye AI tumia Dash sana wakiwa nje ya box lako ndo utumie match up....

Kwenye PvP tumia sana match up alafu kaba kwa akili zuia njia pia usikabie mabeki wako wa kati kati tumia sana midfield kukaba kabla mpinzani hajafika golin kwako lengo ni kumantain defensive line back yako isiwe na matobo mengi...

Alafu si ndo unatumia Out wide😃😃😃 tafuta kocha mwingine mkuu.. either wa QC au LBC
Kwa heshima
 
Back
Top Bottom