eFootball Special Thread

Najua ni ngumu lakini uko mbele week 3 zijazo ni moto
Aah... Sawa mkuu


Nahitaji kocha wa LBC sins nilitaka nimchukue Martinez lakin ana play style Moja ngoja nifute tu huyu huyu wa LBC na LB


Inaonekana mkongwe kwenye efootball kama upo free tupande leta username tukaongeze ujuzi
 
Wanangu tutaonana tena baada ya siku tisiniπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Instagram napatikana kwa Selikavu feel free to check me anytime πŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Uzuri muda wetu wa Friendly unafahamikaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Razorblade na Gilberto tukutane Whatsapp πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…