eFootball Special Thread

Msaada natk kusajil wachezaji na shangaa wananiletea hivi
Kabla ya wachezaji kwanza huyo kocha playstyle yake ni Out Wide na siyo Quick Counter, nenda ubadirishe.

Hizo card zenye alama kama ya saa ni za mkopo, bila shaka hiyo ni event.

Kuhusu kufanya usajili unaweza tumia GP kupata standard players lakini kama unazo coins za kutosha unaweza spin(sikushauri πŸ˜‚)

Ngoja aje mwalimu wa wanafunzi wengi humu aje kukuelekeza vizuri.
Selikavu
 
AseeeπŸ˜ƒπŸ™Œ
 
V Chief jana nimekusikilizia nimekukosa leo tutapanda nikupe chance deals ukatumia kujaribu bahati kupata wachezaji wazuri...

Mean while kuna baadhi ya comment za maelekezo kama utakuwa ujafanya unaweza ukafanya vikusaidie

Tutaendelea kupeeana ujuzi taratibu lengo ni moja tuweze mfunga master humu ndani Kandambili πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
kassim kimoby mkuu unaweza pitia pia uone cha kukufaa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…