Nimevipiga vita toka division ya 7 huko acha nipumzike nitaendelea kesho tenaView attachment 3463982
Aah tatizo muda😃😃😅😅 usije nifikia na kuni pita ,make toka juzi sija cheza tena
Nimepata dharula mkuu, kama utakuwa na nafasi kesho tuguse baada ya maintenance.Saa 2 kama utakuwa hewani tuguse. Razorblade
😅mwisho lin kwan hii seasonAah tatizo muda😃😃
PoaNimepata dharula mkuu, kama utakuwa na nafasi kesho tuguse baada ya maintenance.
Pamoja.
Ngoja niweke TTCL hewan sasa😃😃Nne na nusu tucheze ngoja nijiunge bando
Bado siku 7 kumbe 🤣🤣🤣😅mwisho lin kwan hii season
Tuma inviteNipo hewani
Sikuoni kama upo online kwanguTuma invite
Oya familiaDua👍
Upo naingia kwenye game saizi utanikuta hukoMkuu
NimekujaMkuu