eFootball Special Thread

๐Ÿ˜…mwisho lin kwan hii season
Bado siku 7 kumbe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Me niliaangalia pale kwa Isco mara ya mwanza nikaona ana siku 55 nikajua ndo phase yote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuu Negan heshima yako๐Ÿคฃ


Ila game ya kwanza umenivunja mbavu sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhizo card za njano nikajua leo hapa sitoki๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Hii game imeniuma sana yan sijui nianze kucheza na poda๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ mikono inajaa maji kila muda๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Eniwei best team imewin congratulations mkuu tutakutana tena sisi ni pipo ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ