Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Hamna noma ila nitabunu mbwinu tu 😂Hizo zinazuiwa kwa kucheza defensive Fullbacks kama Selikavu ukitumia defensive Fullbacks hakuna winga ataefurukuta.
Hamna noma ila nitabunu mbwinu tu 😂Hizo zinazuiwa kwa kucheza defensive Fullbacks kama Selikavu ukitumia defensive Fullbacks hakuna winga ataefurukuta.
Pole sana😃😃Tangu hapo kabla haya magoli ndiyo udhaifu wangu mkubwa, kabla ya update hii kuna jamaa alinielekeza ila hii bado sijajua nazuia vipi 😂😂😂
Edo hajatokea kabisa leo kwan
Sijamuona.Edo hajatokea kabisa leo kwan
Aisee.Nitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again 😃😃sema hii utanifunga sina kocha 😃😃
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Nakutana na mbaya wangu mapema sana😀 bodi ya ligi iingilie kati hii ni hujuma😀Nitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again 😃😃sema hii utanifunga sina kocha 😃😃
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Corrie de killer // Mill broh 🥴Nitaingia sehemu ya Mr devil ili tubalance idadi ya number
Game za nyuma sitocheza wakuu Edo kissy na Corrie de killer
Msimamo huu hapaView attachment 3463324
Game za kesho hizi hapa
Ambao hamjacheza Mill broh na Gilberto_ bado mna room ya kucheza match yenu
Warld haonekani sijui kaenda wap
All in all NEGAN am coming once again 😃😃sema hii utanifunga sina kocha 😃😃
Possession game mpira mmoja mgumu sana siuwezi
View attachment 3463325
Edo kissy na Corrie de killer nitacheza na nyinyi kesho wakuu mtanipa ratiba tuu muda gan mtakuwa free me jobless masaa 24 nipo free tuu
Hapana nimewaambia sitochezaMatch ilio miss ni ya Corrie de killer ila ya Edo bado ipo valid hadi leo
Sina kocha saiv 😃😃 possession game kuna vitu haina kwa ajili yangu ila kazi itakuwepo kwako haitokua easy Win😃😃😃Nakutana na mbaya wangu mapema sana😀 bodi ya ligi iingilie kati hii ni hujuma😀
6 men wall😀 itabidi nicheze anti counter tu😀Sina kocha saiv 😃😃 possession game kuna vitu haina kwa ajili yangu ila kazi itakuwepo kwako haitokua easy Win😃😃😃
Leo nitakuwa katika peak ya Uviziaji🤣🤣🤣6 men wall😀 itabidi nicheze anti counter tu😀
Ucheze mechi zako kaka😃😃😃
Saa ngapi unakuja kuchukua points zako
Una taka upige comeback 😂😂Hapana nimewaambia sitocheza
Comeback which muda ushaisha😃😃Una taka upige comeback 😂😂