Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Ndo hii mkuu π€£π€£π€£ Sina umaster wowote mkuu.... Nabahatisha tuWeka main account yako sasa Master π
Kbsa mkuu ....maana nimefanya fanyia mazoezi naona hakuna tofauti kubwa kasoro kwenye shooting tu kwengine sawa tu na smart assistHaha utaizoea tu mkuu
Wazee wa pass mna nyooshanaKandambili1 GOOD GAME MKUU π₯ππ«°
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako π₯π₯΄π
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu ππ
View attachment 3461813View attachment 3461814
Inawezekanaje? πWonder boy sio wa mchezo mchezo π
View attachment 3461832
Wonder kid Walid mzize Doue naona kala umeme π€£π€£π€£Wonder boy sio wa mchezo mchezo π
View attachment 3461832
Inawezekanaje? π
ππ una mpigaje chenga maestro afu akuache uendeWonder kid Walid mzize Doue naona kala umeme π€£π€£π€£
Kuweka mizan sawaa demu ni match ambayo hujachezaπ€£π€£π€£Matokeo tutaweka tukimaliza mechi zote wakuu, tumecheza mechi 1.
Selikavu embu vuta picha upo kwenye usafiri halafu unamuona demu aliyekuandikia barua ya mapenzi mkiwa primary, kwa bahati mbaya/nzuri umemsahau jina halafu yeye hajakuona π
Limeniumiza sana hili leo πππ
Kaka niache, yani alivyokuwa anashuka namkazia macho labda ataniona lakini daah πKuweka mizan sawaa demu ni match ambayo hujachezaπ€£π€£π€£
Pole sana mkuuππkesho si mbali zitunze hasira zakoπ€£π€£Kaka niache, yani alivyokuwa anashuka namkazia macho labda ataniona lakini daah π
Kweli siku ya kufa nyani... πππ
Kesho itakuwa siku ngumu sana, mechi 3 daah.Pole sana mkuuππkesho si mbali zitunze hasira zakoπ€£π€£
Mbona ndio ninalo cheza mkuuDownload Efootball Mkuu Gb 54View attachment 3461755 tuu kwenye Pes
Aah kumbeππMbona ndio ninalo cheza mkuu
Ps mkuu?Aah kumbeππ
Username yako ni ipi au hujalog in
Selikavu na Razorblade msiwaze mtampata Rijkaard wiki ya mwishoπ
Dokuππ
Cucurela π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Siku hiz gundu umepeleka wapππView attachment 3462004
View attachment 3462006
View attachment 3462007
Dua la kuku... π
NB: Mnaruhusiwa kwenda kuangalia kikosi wenyewe ili kupata uthibitisho, kama mmesahau username mtaniambia ,mtamkuta pale kapoa na rate yake ya 102(kwangu anafika 103) πππ
Eeh kuna Efootball na kwenyewePs mkuu?
Haha umetoa gunduπView attachment 3462004
View attachment 3462006
View attachment 3462007
Dua la kuku... π
NB: Mnaruhusiwa kwenda kuangalia kikosi wenyewe ili kupata uthibitisho, kama mmesahau username mtaniambia ,mtamkuta pale kapoa na rate yake ya 102(kwangu anafika 103) πππ
ππdah na mimi nipige yangu kabla konami awaja waweka kina mzizeView attachment 3462004
View attachment 3462006
View attachment 3462007
Dua la kuku... π
NB: Mnaruhusiwa kwenda kuangalia kikosi wenyewe ili kupata uthibitisho, kama mmesahau username mtaniambia ,mtamkuta pale kapoa na rate yake ya 102(kwangu anafika 103) πππ