Tuma code basi.Ndioo
Tuma tuuMkuu sio masihara nikionesha draft ya mojawapo ya kikosi changu kimoja watu watapotea humu
Kivumbi leo😅Kandambili1 nisamehe mkuu 😂😂🙌
Daah jamaa kanichezea mpira ingekuwa mechi 1 tu ningeikimbia sema nikakaza nisubirie tu mechi ya piliKivumbi leo😅
Dah! Labda kesho night mkuu.View attachment 3461811tutamalizia iliyobaki charge kipengele ✊🏾
Na ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake 🤣🤣🤣🤣🤣...nimebondwa nimebondeka.Kandambili1 nisamehe mkuu 😂😂🙌
Daah 😅 ungeniua kaka, ulitaka nishike mkia mapema hiiNa ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake 🤣🤣🤣🤣🤣...nimebondwa nimebondeka.
Yan ashukuru kabisa🤣🤣🤣angekufa nje ndani🤣🤣Na ushukuru ma mtu alikuwa anasumbua na masimu yake 🤣🤣🤣🤣🤣...nimebondwa nimebondeka.
Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.Kandambili1 GOOD GAME MKUU 🔥🙌🫰
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako 🔥🥴😀
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu 😂🙌
View attachment 3461813View attachment 3461814
Wakuu mjipange bingwa Kandambili 🤣🤣Kandambili1 GOOD GAME MKUU 🔥🙌🫰
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako 🔥🥴😀
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu 😂🙌
View attachment 3461813View attachment 3461814
😂😂 mmeamua kuungana sioYan ashukuru kabisa🤣🤣🤣angekufa nje ndani🤣🤣
Siwezi mkuu skills zako zipo juu sana....nimeshindwa kuendana na Kasi yakl....Daah 😅 ungeniua kaka, ulitaka nishike mkia mapema hii
😂 duh umejifunza nini sasa?Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
Mkuu na unaona nimebondeka 4 hapo juu 🤣🤣🤣Wakuu mjipange bingwa Kandambili 🤣🤣
Me nipo kucheka tuu😃😃🤣🤣sasa kama Kandambili kakusumbua wewe nani mwingine amebaki😃😃😃wa kumfunga😃😃😃😂😂 mmeamua kuungana sio