Watu mna bahati...😃😃😃Nimempata Rijkaard baadae tukutane kwenye league😅
Ahaa mkuu mbona sijawahi kuziona vocha za TTCL😅Watu mna bahati...😃😃😃
Kama unaludi afadhari maana nilikuwa natafuta vocha za TTCL hapa mpka nimechoka
Selikavu na Razorblade msiwaze mtampata Rijkaard wiki ya mwisho😅Watu mna bahati...😃😃😃
Kama unaludi afadhari maana nilikuwa natafuta vocha za TTCL hapa mpka nimechoka
Kuna mzee anauza town huwa natuma mtu ananinunulia😃😃😃Ahaa mkuu mbona sijawahi kuziona vocha za TTCL😅
🤣🤣🤣 Razorblade atleast hata ametoa Gundu kampata Baresi...Selikavu na Razorblade msiwaze mtampata Rijkaard wiki ya mwisho😅
Nikajua peke yangu nakosa penalty🤣🤣🤣 Razorblade atleast hata ametoa Gundu kampata Baresi...
Sema tupo moja moja me na yeye kipind kile nilimpata Owen yeye alikosa🤣🤣🤣
Alafu kesho hiyo ndo inafika chance deal ya hawa jamaa😃😃maana nimekosa penalty kama mara mbili hivi
NdioMshindi ana patikana kwa point sio
Nikajua peke yangu nakosa penalty
Sema hii phase ya pili baada ya Hazard penalty zimekua jau sana😅
Kuhusu Utumiaji wa smart assist au?Sheria ni zipi?
Yan inabid uwakalili vilivyo😃😃makipaNikajua peke yangu nakosa penalty
Sema hii phase ya pili baada ya Hazard penalty zimekua jau sana😅
Uzur tulitangaza mapema 😃😃NIMEONA WENGI MMEPENDEKEZA NO SMART ASSIST, NA IWE HIVO KWA WOTE MTAKAOSHIRIKI LIGI.
KILA BADA YA FIXTURE NITAWEKA #NoSmartAssist 😀
😃😃Wadau waliomba tupeane Round kwamba mfano Round hii tunatoa tukianza league ijayo tunatoa😃😃Kuhusu Utumiaji wa smart assist au?
Hapo inanipa changamoto mi sijui nikae upande gani kama bodi ya ligi 😅..
Kuna kupewa Leao, Shortbelck sijui na akina Dimarco😃😃😃Hii Penalty ya mwisho lazima tupewe Epic na sio kina mzize eh
Smart assist ndio nini mkuu? Na kwanini mnaizuia?Kuna kupewa Leao, Shortbelck sijui na akina Dimarco😃😃😃
Ni setting ipo kwenye game ambapo kuna baadhi ya function kwenye game ambazo ilibid ufanye wewe inafanya computer mfano kunyanyua pasi na Direction sahihi ya pas...Smart assist ndio nini mkuu? Na kwanini mnaizuia?
Nimekupata vyema mkuu. Shukrani.Ni setting ipo kwenye game ambapo kuna baadhi ya function kwenye game ambazo ilibid ufanye wewe inafanya computer mfano kunyanyua pasi na Direction sahihi ya pas...
Runns sahihi za wachezaji... Kukaba na pia clearance kwahiyo unakuwa unacheza wewe pamoja na AI...
Nadhan hata wewe unatumia sema kwakuwa bado mgen unaweza usione
Sasa shida ya hii sisi ambao sio watumiaji unapata tabu sana kumkaba mtu wa smart assist 😃😃😃😃
Maana yeye anakuwa perfect kwenye runs kitu ambacho kinakuwia ugumu kukaba😃😃