Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
Kaka siku hizi unaroga 😂😂Hupati bhana usijichoshe 😂
Kaka siku hizi unaroga 😂😂Hupati bhana usijichoshe 😂
😂😂unazani mngejua ,ninge lia kimya kimyaUngekosa na hapo nahisi ungelia bila kutoa machozi 😂
😂😂tutapnda friendly match uone vile ata yeye ana kutakaHuyo Vieri anaplay style ninayoitaka kwa centre forward wangu hahaha ngoja nikabahatishe sijui nitunze coin
😂😂sielewi niliona sehemu wadau wana sema ni mnoma kuliko van dijk na suti lake kumbe waapiMzee ma CB wote wale😃😃😃mpaka Nesta anakaa bechi😃
Kamuongezee speed😃😃anfika 60 na hii setting😂😂sielewi niliona sehemu wadau wana sema ni mnoma kuliko van dijk na suti lake kumbe waapi
Kandambili na standard players hakuna kitu kitawatenganisha🤣🤣Hahaha sijaenda hapo....nimepata Gravenberch DMF na pickford incase costa akiwa condition mbaya
Jamaa au wewe?Jamaa kaspine kapata nafuu kdgView attachment 3462141
Ungejitosa uone konami wanavyokufurahisha 😂Hahaha sijaenda hapo....nimepata Gravenberch DMF na pickford incase costa akiwa condition mbaya
Wale worldwide august .... Ni standard card kumbe..... Nlikuwa nataka nibahatishe baston na booster 1 anisaidie.Kandambili na standard players hakuna kitu kitawatenganisha🤣🤣
Hahaha atakuwa yeye ....haha nipo na cucurela sina nenoJamaa au wewe?
Tatizo mnawapita wazee kwenye kahawa hamuwanunulii hata kashata 😂😂😂Kaka siku hizi unaroga 😂😂
Badala uangalie mahitaji ya kikosi wewe unasikiliza waja wanasema nini 😂😂😂😂😂sielewi niliona sehemu wadau wana sema ni mnoma kuliko van dijk na suti lake kumbe waapi
Bastoni ni mmoja tu hizo card zingine ni 🚮Wale worldwide august .... Ni standard card kumbe..... Nlikuwa nataka nibahatishe baston na booster 1 anisaidie.
Booster yeke ni defending huyo 😂😂😂Hahaha atakuwa yeye ....haha nipo na cucurela sina neno
Ile accounting yangu niliyouza🤣🤣🤣Jamaa au wewe?
Aah kama ni pale sawaa nikajua ulichokoma pale kwa akina Cannavaro 😃😃😃Wale worldwide august .... Ni standard card kumbe..... Nlikuwa nataka nibahatishe baston na booster 1 anisaidie.
JF PREMIER LEAGUE.
Kama tulivyokubaliana wakuu, No Smart Assist kwenye hii ligi😀.. kuanze kuchangamka humu sasa, deadline ya hii fixture itakuwa kesho saa 2359hrs.
🙌
Round one.
View attachment 3461565
Rules..
Mechi ni 2, Home and Away.. dakika 10 CONDITIONS EXCELLENT both side, no EXTRA no PENALTIES.
Kwa ambao mna hii app ya Copafacil hii hapa link ya mashindano yote ya JF, mnaeza kufollow mkawa mnafatilia mwenendo wa ligi tutakazokuwa tunaziendesha humu JF wakuu.🫰👇
![]()
JF eFootball Champions
Gerenciador de campeonatos, Ligas e Torneios gratuito, com fotos, vÃdeos e notÃcias. Crie seu campeonato Agora!copafacil.com
#NoSmartAssist 🤞
CC - Razorblade / Edo kissy / Kandambili1 / NEGAN / Corrie de killer / Mr Devil / Mill broh / Warld / Alexander Lukashenko
😂kikosi kime shiba sio mbaya akiwa wa events, pale hapakuepo CMF ninae mtakaBadala uangalie mahitaji ya kikosi wewe unasikiliza waja wanasema nini 😂😂😂