Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Niliingia na QC, Amorim.Siwezi mkuu skills zako zipo juu sana....nimeshindwa kuendana na Kasi yakl....
Na nimeona ghafla umebadilika game ya pili sikujua umebadili kocha mkuu...
Niliingia na QC, Amorim.Siwezi mkuu skills zako zipo juu sana....nimeshindwa kuendana na Kasi yakl....
Na nimeona ghafla umebadilika game ya pili sikujua umebadili kocha mkuu...
Master wa michezo😃😃😃anakuambia amejifunza🤣🤣😂 duh umejifunza nini sasa?
Ligi yake hii 😅🙌Me nipo kucheka tuu😃😃🤣🤣sasa kama Kandambili kakusumbua wewe nani mwingine amebaki😃😃😃wa kumfunga😃😃😃
Ulianza na LBC😃😃Niliingia na QC, Amorim.
Nimeondoka na 1 2 zile pass zako kufungua njia ....pia hupigi pass nyingi lakini unapiga kwa mipango sana😂 duh umejifunza nini sasa?
Na wewe umembonda nyingi na mpira mkubwa hongeraMkuu na unaona nimebondeka 4 hapo juu 🤣🤣🤣
Na Hapo Puskas kaanzia benchi 🙌😅Wakuu mjipange bingwa Kandambili 🤣🤣
Alianza nA Osimenh 😃😃Na Hapo Puskas kaanzia benchi 🙌😅
Umezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine😅Kandambili1 GOOD GAME MKUU 🔥🙌🫰
baada ya mechi ya kwanza ulinifanya niende kwenye store ya makocha wangu pale nitafute wa kunipa matokeo mana sio kwa hiyo possession game yako 🔥🥴😀
unaanza pasi nyuma kwa kipa mpaka unafika mbele unafunga mi nashikilia matchup tu 😂🙌
View attachment 3461813View attachment 3461814
Huyo huyo pamoja na Balle na Hazard 🙌😀Alianza nA Osimenh 😃😃
Pia kwenye shooting bado nastruggle maana golini kwako mbona nimefika sema shooting bado ...😂 duh umejifunza nini sasa?
Na hapo hana smart assist 🤣🤣🤣Umezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine😅
Kazi ipo😃😃Huyo huyo pamoja na Balle na Hazard 🙌😀
Jamaa kanipigia pasi mpaka nikachanganyikiwq asee mechi ya pili ikanibidi na mi nurudi kwenye mchezo wa pasi tu ili asikae na mpira 😅Umezidiwa possession nyingi hivyo kweli ulikua unapumulia mashine😅
Puskas amechoka leo mkuu....wa kesho atakutana nae🤣🤣🤣🤣Na Hapo Puskas kaanzia benchi 🙌😅
Weka main account yako sasa Master 😀Nashukuru sana mkuu....yes nacheza hivyo sababu siwezi fanya movement nyingi mkuu kwenye game....hahaha nashukuru nimejifunza vingi mkuu.
Kandambili cheza nae na Possession game au QC ila LBC utastruggle mno😃😃Niliingia na QC, Amorim.
Haha kuna mashuti alikuwa anapiga kwa kugusa kidogo tu, nadhani alishazoea smart assist inamboost shots zakeNa hapo hana smart assist 🤣🤣🤣
Aah kwel lazima side effects ibaki🤣🤣🤣Haha kuna mashuti alikuwa anapiga kwa kugusa kidogo tu, nadhani alishazoea smart assist inamboost shots zake
Haha utaizoea tu mkuuPia kwenye shooting bado nastruggle maana golini kwako mbona nimefika sema shooting bado ...
Pia direction inasumbua tofauti na smart assist 🤣🤣 ndo maana ukaona pass zinajirudia kwa mtu mmoja