Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Hamna shda mkuu shukranNimemchek hayupo online ila atakuja uwepo hapa😃
Hamna shda mkuu shukranNimemchek hayupo online ila atakuja uwepo hapa😃
Cucurela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi kesho ndo penalt ya mwisho, nasubiri nione nitapewa nani 😂
Mkuu kumbe ulianzia huku 😂Nimeadjust baada ya kuangalia back ya bwana Razorblade 🤣🤣🤣hakuna sehemu utapita pale bila kuwavuta hao jamaaView attachment 3461455
Razorblade hizo 105 hapo nyuma unataka tupite wap kakaView attachment 3461456
Download Efootball Mkuu Gb 54If you this is bias, no it's not this is facts.
Hapo Chelsea kasha kula 3:0, na first half haija isha.
Sija fika getto ,nifike ni chaj simu tachokaa, dk 20 za match ni nyingiSi mpande tu game mbili hizo chap mkuu uzuri yupo online
Ulitumia kinywaji chenye alcohol ngapi mkuu? 😂😂😂Wakuu account yangu ya Myunani imepata mteja soon tuu naachana nayo😃😃😃
Done deal all sealed agreement 10k selling fee minus 4k ya silivester na Guardiola minus coins za 5K faida inayobaki ni 1K minus bundle nililotumia 20k nakuwa nimepata Loss ya 19K pamoja na Owen🤣🤣🤣🤣
Nikaona haupo online nikakufata kule😃😃😃Mkuu kumbe ulianzia huku 😂
Usinichonganishe na ndugu yangu 😂😂😂😅😅 Razorblade me shabiki yako piga nyingi uyoo Edo kissy
Aah pow powSija fika getto ,nifike ni chaj simu tachokaa, dk 20 za match ni nyingi
Release 😂Doku😃😃
Release 😂Cucurela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Doku winger matata humtaki😃😃Release 😂
45 tuu🤣Ulitumia kinywaji chenye alcohol ngapi mkuu? 😂😂😂
Twenzao sasa kakaMkuu upo hewani tupande?
Hizi game za wiki hii nitakimbizana nazo kibabe sana, muda mdogo 😂Nikaona haupo online nikakufata kule😃😃😃
Sitaki matatizo kwenye kikosi changu 😂Doku winger matata humtaki😃😃
Dah! Usizidishe zaidi ya hiyo, utaenda lala juu ya kaburi uhisi upo kitandani 😂😂😂45 tuu🤣
Mkuu naomba dakika kadhaa nifanye mazingira nipate utulivu kisha tupande.Mkuu tuguse