eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Michezo ya malapa hii🤣
Hamna nataka nijifunze kukaba si unaona navyohaha, tangu nimeanza game hii update mpya imenipa vipigo vizito sinawahi kutana navyo hapo kabla 😂

Mpaka nikae sawa nitakuwa nimenyooka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom