Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Unataka ucheze na mabeki wawili😃😃Wakuu mnishauri mapema kbla sijaanza kutumia mfumo wa 2-4-4
Unataka ucheze na mabeki wawili😃😃Wakuu mnishauri mapema kbla sijaanza kutumia mfumo wa 2-4-4
NakujaTwende nikachezee main account tuu
Nawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na hurumaUnataka ucheze na mabeki wawili😃😃
Umecheka kama mazuri.... Hataamini macho yake😂😂😂Unataka ucheze na mabeki wawili😃😃
Unataka kuweka madestroyer wote😃😃Nawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na huruma
Usijaribu hii mkuu....kamiddle wenyewe kina nani?? Itakucost sana mfano opponent anapiga v pass pembeni na unamabeki wawili wakati utaumiaNawaset na mamido wawili wawe wanapanda na kushuka alafu mbele ni wale majambazi wasiokuwa na huruma
Good game kotekote....Kuna muda umepiga pass sana mkuu hadi nikadhangaa kwann huwa unabutua sanaGood game kakaView attachment 3459217
Alafu hata sio mchezo wangu😃😃😃Hii intensity yako sio poa mkuu Selikavu ....Yani man u yangu ingekuwa inacheza hivi unavyocheza tungefika mbali sana
Sio mchezo wangu huo sijui kwann wewe na Warld mnanifosi nipige pas😃😃Good game kotekote....Kuna muda umepiga pass sana mkuu hadi nikadhangaa kwann huwa unabutua sana
Tulud moja ya dakika 15 ukaniue😃😃😃😂🤣🤣kwa leo naishia hapa
View attachment 3459221
Nikipata muda tutapanda kaka hakuna nenochaji ipo chini kesho nitaomba game tena mkuu...nijipime tena.
Unacheza vizuri sana mkuu...Mimi bado sijajua kupiga chenga na kucross ndo maana nacheza pass tu hata pembeniAlafu hata sio mchezo wangu😃😃😃
We ngoja siku nipate simu ya kustream uone ninavyocheza na Negan, Gilberto au Mill Broh 😃😃😃
Ndo utaona mchezo wangu wenyewe sasa
Asante mkuu Kuna masomo mawili jiandae kunielekeza crossing na chenga Kuna muda mnazinguka had nashangaa mnawezaje 🤣🤣🤣Nikipata muda tutapanda kaka hakuna neno
Nipe mfumo wa mashambulizi dk 90 kama liverkuku sasa mkuuUsijaribu hii mkuu....kamiddle wenyewe kina nani?? Itakucost sana mfano opponent anapiga v pass pembeni na unamabeki wawili wakati utaumia
Amna siku nitakuchezea mchezo wangu wenyewe ngoja nitajifosi kesho uone😃😃Unacheza vizuri sana mkuu...Mimi bado sijajua kupiga chenga na kucross ndo maana nacheza pass tu hata pembeni