eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Unataka kusema mimi sio😃😃😃


Kwake yeye me ni professional nimemzidi siku za kucheza...

Ndo nilichomaanisha ila kwakua unapenda vita ukaona unigande🤣🤣🤣
Siku haiwezi isha bila kukuandama, huo utakuwa ugonjwa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom