eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Maneno ya mkosaji 😂😂😂

Eti na mimi leo nawacheka ambao wanaspin na kupata hewa, watu wanalalamika spin 79+ anaambulia upepo tu 😂😂😂
Mimi hapa angalia namba ya wachezaji waliobaki hapo kwenye spine kutoka 250😃😃

Na nimetika hola bila epic hata mmoja nimetoka ha Highlights cards tyu
Screenshot_20250829-121709.png


Nikaona niikumbuke Account yangu ya selikavu nikafungua nikatafuta spin 83 pale uwakika nikapata zangu Torres na Baresi shwaaa🤣🤣
Screenshot_20250829-143011.png
Screenshot_20250829-184959.png
 
Back
Top Bottom