eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kitu nimejifunza kwa mkuu Razorblade nafikiri kitu ambacho n muhimu zaidi ni kuujua mfumo wako, kikosi na namna ya kuexecute vitu hivi vitatu kupata ushindi...

Kuna pattern za long pasi, one two, crossing, ball carrying unazirudia hsdi unakuwa vizuri matokeo yatakuja tu...
Mkuu kitu ambacho sijali sana kwa sasa ni kufugwa sababu najua nataka kucheza mpira wa aina gani, japo kufungwa inakera 😂

Ila wewe jana nilitaka nikutoe room, mie nilikutumia invite ili tupeane win kwaajili ya kuchukua rewards na kubadilishana treasure ajabu iliyoje naona unanikanda tu 😂😂😂
 
Mkuu mbona nililegeza game ya pili Ile 🤣🤣🤣 hahaha sema haijalishi umeshinda au kufungwa nafikiri
 
Yeyote nikampe treasure
Screenshot_20250829-110615.png
 
Back
Top Bottom