Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,905
- 12,312
๐๐๐Ni porii km sio Msitu. ๐๐๐๐
๐๐๐Ni porii km sio Msitu. ๐๐๐๐
Shukuru umempata me niliepewa Sablozai kama vile sina card yake๐๐๐นme namtaka beresi wao wana nipa Babu toress ,
View attachment 3456801
Kwan mlikuwa mnacheza eBasketball ama๐๐View attachment 3455679
Sijawahi cheza game nikatoka magoli 15 labda sikumbuki ila hii, kama rede ๐๐๐ฅ๐ฅ
Refa alivyokupa red akaamuwa kuwa upande wako sasa unanipiga mpaka mitama afu uaachwa tu ๐
Mr Devil NEGAN Selikavu Edo kissy Razorblade
Nili lala ๐นOya tuzame room fam ila hakikisha unanipa win kuna events nataka kukamilisha ๐
Kandambili1 anazingua yeye anataka kushinda tu ๐๐๐
Poa ๐Nili lala ๐น
Na screenshot atuonyeshe ๐Lishushe tu game account ipo mama
Nipe kwani hiyo acc bas, ๐๐๐๐Lishushe tu game account ipo mama
Halafu playstyle yake naona sio tamu sana....maana alikuwa kama Adv striker akiwa liver ingenoga sana akiwa anafanya runs na link up ya juu๐นme namtaka beresi wao wana nipa Babu toress ,
View attachment 3456801
nmepewa park ji sung nilitafuta position ya cmc pia matheus Nunes nafikiri tutafika fikaShukuru umempata me niliepewa Sablozai kama vile sina card yake๐๐
View attachment 3457056
Franco Beresi akimpungia mkono Mr Devil ๐
View attachment 3457057
Nipe hela nikupe hii card mkuu ๐
NB: Usipoamini baada ya maintenance nakuletea picha ya kikosi ๐๐๐
Kuna watu wanabonda hii nchi sio mchezo๐
๐นme namtaka beresi wao wana nipa Babu toress ,
View attachment 3456801
Hahah humu ndo utajua Watanzania wanajua kucheza
View attachment 3457144
Tufanye top-up, ongezea alfu 3 nikupe unyama huu ๐
Kwisha wewe ๐๐น๐นdah nilkua namtaka uyu jamaa asee
Si unajaribu tu ๐Kuna watu wanabonda hii nchi sio mchezo๐