eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kwa nilichoelewa kwa uchache ni hivi:-

Mnaingia kucheza PvP ukipata ushindi unaletewa muonekano wa treasure za opponent wako kisha unachukua unayotaka, ndiyomaana watu wanakubaliana halafu wanafanya mabalishano.

Ila hata mimi sijui nilichoelezea ni nini 😂😂😂
 
🤣🤣kila mtu aeleze alivyo elewa kama class dadekii
 
Back
Top Bottom