😃😃😃Victor osimenh second half York🤣🤣Pamoja nakuweka back five full defensive bar.. nilikuwa naokota magoli kwenye nyavu tu.
😂😂😂 huyo Doue ndo namtaka sasa, ambulance iwepo uwanjani 🚑Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣
Huenda wameigusa kidogo ifanye kazi, ukiangalia uhalisia wa beki zinavyokaba sasa hivi ni tackling sana ndiyomaana nao wameipa nguvu tackling.It seems match up is matching again😃😃
Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣
Nina mission moja haya ya kufika division one leo ngoja niimalize japo konami wamejua kuninyoosha😃😃Kitambo kaka hujanifunza nakuomba roomðŸ¤
Hii nini tena aisee?View attachment 3448932
Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌
Mb 60 tuHii nini tena aisee?
Tutaendelea night sahizi network jauMb 60 tu
PowaTutaendelea night sahizi network jau
Hapo inabidi nifute game na kulishusha tena.Mb 60 tu
Mkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂Update mdogo tu tu mbs 64😂
Wakati nawaambia match up inafanya kazi ulifikiri imekuja tuu😃😃View attachment 3448932
Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌
Futa apps nyingine kakaMkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂